DumaBoost Studio

Wewe pata kazi. Makaratasi tunakuandalia sisi.

CV ya kitaalamu na barua ya maombi iliyokaa poa, kwa simu yako, ndani ya dakika chache. Ongea, pakia au andika: wewe tu uchague.

Kuanza ni bure. Ona CV yako yote kabla ya kuamua.

Au gusa design unayoipenda:

Nataka barua ya kazi · Ona designs zote

Inavyofanya kazi

  1. 1Chagua design unayoipenda
  2. 2Weka taarifa zako: ongea, pakia CV ya zamani au andika
  3. 3Iangalie kwenye design yoyote, kisha pakua

Ona CV yako yote kabla ya kuamua. Taarifa zako ni siri.

Taarifa za kazi

Chagua unachotaka kujulishwa. Unaweza kubadilisha au kuzima wakati wowote.

Nijulishe kuhusu

Zote zimechaguliwa. Ondoa tiki kwenye usichotaka.

Fani hizi tu (si lazima) · Mikoa hii tu (si lazima)

Acha wazi upate zote.

Bure · taarifa moja kwa saa zaidi · hakuna kati ya saa 4 usiku na saa 12:30 asubuhi