Rasimu, inasubiri kupitiwa na mwanasheria.

Matumizi Yanayoruhusiwa

Imesasishwa: 26 Nov 2026

Hatukubali oda za:

  • Maudhui yanayokiuka sheria za Tanzania au sera za matangazo za majukwaa (k.m. kamari isiyo na leseni, bidhaa haramu, chuki, taarifa za uongo za kiafya au kifedha).
  • Maudhui ambayo huna haki nayo (hakimiliki, picha za watu bila ridhaa).
  • Kujifanya mtu au biashara nyingine.

Tunaweza kukataa oda yoyote inayovunja sera hii na kurudisha pesa.

Taarifa za kazi

Chagua unachotaka kujulishwa. Unaweza kubadilisha au kuzima wakati wowote.

Nijulishe kuhusu

Zote zimechaguliwa. Ondoa tiki kwenye usichotaka.

Fani hizi tu (si lazima) · Mikoa hii tu (si lazima)

Acha wazi upate zote.

Bure · taarifa moja kwa saa zaidi · hakuna kati ya saa 4 usiku na saa 12:30 asubuhi