Rasimu, inasubiri kupitiwa na mwanasheria.

Cookies

Imesasishwa: 26 Nov 2026

DumaBoost inatumia vidakuzi muhimu pekee: kidakuzi cha kikao (session) kinachokumbuka oda zako na kulinda fomu dhidi ya mashambulizi (CSRF). Hatutumii vidakuzi vya matangazo wala vya kufuatilia watu kwenye tovuti nyingine. Kwa ridhaa yako, tunahesabu ziara, kurasa za bidhaa, checkout na malipo yaliyothibitishwa kwa vitambulisho vya siku visivyo na majina. Hatuhifadhi simu, barua pepe, link za mitandao au IP kwenye takwimu hizi. Tunafuta takwimu baada ya siku 90. Unaweza kuruhusu, kukataa au kuondoa ridhaa wakati wowote hapa chini.

Mipangilio ya faragha

Takwimu za matumizi na vipimo vya matangazo vya Meta (cookies). Ni hiari.

Taarifa za kazi

Chagua unachotaka kujulishwa. Unaweza kubadilisha au kuzima wakati wowote.

Nijulishe kuhusu

Zote zimechaguliwa. Ondoa tiki kwenye usichotaka.

Fani hizi tu (si lazima) · Mikoa hii tu (si lazima)

Acha wazi upate zote.

Bure · taarifa moja kwa saa zaidi · hakuna kati ya saa 4 usiku na saa 12:30 asubuhi